Imewekwa : March 3rd, 2020
Naibu Waziri wa TAMISEMI, Josephat Kandege aipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi kwa kutoa Mikopo ya shilingi 298,117, 000 /= toka Mapato ya ndani kwa vikundi mbalim...
Imewekwa : February 24th, 2020
Serikali Wilayani Misungwi, Mkoani Mwanza imepiga marufuku vitendo vya Walimu kuwatumikisha Wanafunzi kwenye shughuli za mashamba yao binafsi na majumbani hivyo kusababisha kuzorota kwa elimu.
Agiz...
Imewekwa : February 15th, 2020
Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango ya Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi, Mkoani Mwanza yaagiza Kamati ya ujenzi kufanya marekebisho mapema katika ujenzi wa machinjio ya Fella na Nyamatala zinazojengw...