Imewekwa : May 4th, 2023
Watu wenye Ulemavu watakiwa kuchangamkia fursa za Mikopo ya asilimia kumi inayotolewa katika Halmashauri nchini kwa mapato ya ndani Wilayani Misungwi Mkoani Mwanza.
Katibu Tawala wa Wilaya ya Misun...
Imewekwa : March 5th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe, Adam Malima aipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi ujenzi wa Kituo cha Afya cha Mwawile kwa kutumia fedha zaidi ya shilingi milioni 400 za mapato ya ndani Wilaya...
Imewekwa : March 1st, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Misungwi, Mhe, Paul Chacha akagua Miradi ya Maendeleo na kuhimiza kukamilika kwa wakati Wilayani Misungwi Mkoani Mwanza.
Mkuu wa Wilaya ya Misungwi Mhe, Paul Chacha katika ziara y...