Kitengo Cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano kina lengo la kutoa huduma za kitaalamu juu ya matumizi ya Teknolojia ya habari na mawasiliano kwa Hamashuri ya Wilaya ya Misungwi.
Majukumu ya Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
kuratibu masuala yakiitifaki ikiwemo kupokea wageni.
Usimamizi Wa Mifumo Ya Kompyuta(SystemAdministration)
Usimamizi Wa Mtandao Wa Kompyuta pamoja NaVifaa Vyake (Network And HardwareAdminstration).
Usimamizi Wa Benki Ya Takwimu(DatabaseAdministration)
Usimamizi wa tovuti na barua pepe (websiteadministration & emails).
Kutekeleza sera ya TEHAMA na Serikali Mtandao.
Kuandaa mahitaji katika Ununuziwa vifaa vya TEHAMA.
Halmashauri ya Wilaya Misungwi
Sanduku la Posta: P.O Box 20 MISUNGWI
Simu ya Mezani: +255282983268
Simu ya Mkononi: 0717259106
Barua Pepe: ded@misungwidc.go.tz
Copyright ©2021 Misungwi District Council . All rights reserved.