Imewekwa : August 30th, 2022
Kamati ya Afya ya Msingi yatakiwa kuhamasisha Wananchi na jamii kushiriki katika zoezi la Kampeni ya Chanjo ya Polio kwa watoto chini ya umri wa miaka mitano Wilayani Misungwi Mkoani Mwanza.
...
Imewekwa : August 25th, 2022
Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi Mkoani Mwanza watakiwa kufanya kazi kwa Weledi na Unyenyekevu na kutimiza ndoto katika maisha yao.
Wito huo umetolewa leo na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji...
Imewekwa : August 12th, 2022
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Tanzania Bara Christina Mndeme asifu na kupongeza ujenzi wa Shule ya Sekondari ya bweni ya wasichana Mwanangwa Wilayani Misungwi ...