• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Ardhi na Maliasili
      • Utawala na Raslimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Fedha na Biashara
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Maeneo ya Vivutio vya Utalii
    • Maeneo ya Kilimo
    • Maeneo ya Madini
    • Maeneo ya Uwekezaji wa Mazingira
  • Huduma Zetu
    • Huduma Sekta ya Afya
    • Huduma Sekta ya Elimu
    • Huduma Sekta ya Maji
    • Huduma Sekta ya Mazingira
    • Huduma Sekta ya Maendeleo ya Jamii
    • Huduma Sekta ya Ardhi na Maliasili
  • Baraza la Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Huduma za Kijamii
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba Vikao vya Halmashauri
  • Miradi mbalimbali
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Mbalimbali
    • Taratibu
    • Gazeti la Serikali
    • Taarifa
    • Fomu mbalimbali
    • Zabuni
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Video Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Habari Mpya

Ardhi na Maliasili

IDARA YA ARDHI NA MALIASILI

Idara ina jumla ya Vitengo sita (6)

  • Ardhi Usimamizi
  • Upimaji na Ramani
  • Mipango miji na Vijiji
  • Uthamini
  • Wanyama pori
  • Misitu

Idara ina jumla ya Watumishi kumi (10).

  • Ardhi usimamizi 2
  • Upimaji                 3
  • Mipango mji        2
  • Uthamini              0
  • Wanyama pori    0
  • Misitu                   2
  • Mkuu wa Idara   1

MAJUKUMU

  • Ardhi usimamizi i. Kumilikisha Ardhi /viwanja na mashamba
  •                                ii. Kusikiliza mashauri ya ardhi
  •                                iii. Kusimamia tozo za ardhi
  •                               iv. Kutoa hati za madai ya tozo za ardhi
  •                               v. Kutoa elimu ya sheria za ardhi
  • Upimaji                i. Kupima ardhi mjini na vijijini
  •                               ii. Kutambua mipaka baina ya wamiliki na wasimamizi wa   ardhi
  •                               iii. Kuandaa ramani za ardhi
  • Uthamini             i. Kufanya tathmini ya kupata gharama ya mali kwa ajili ya
  • Dhamana kwenye taasisi za Fedha
  • Mabadiliko ya miliki za ardhi za ardhi
  • Ulipaji fidia
  • Mipango  miji     - Kutoa ushauri wa ramani za majengo
  • Kuandaa ramani za mipango miji
  • Kuandaa mipango ya matumizi ya ardhi vijijini
  • Wanyama pori    - Kusimamia uendelezaji endelevu na shirikishi wa wanyama pori
  • Kuelimisha na kuwalinda wananchi jinsi ya kujikinga na wanyama waharibifu wa mazao na Binadamu
  • Misitu                      -  Kusimamia usimamizi shirikishi na endelevu wa misitu na mazao ya misitu.
  • SHUGHULI ZILIZOFANYIKA
  • Halmashauri ya wilaya ya Misungwi inakadiria kuwa na viwanja 5003 vilivyopimwa
  • Kati ya Julai 2017 hadi 28/05/2017 kodi ya ardhi Shs. 221,036,909.91 zimekusanywa (lengo kwa mwaka ni Shs. 130,000,000/=).
  • Wamiliki wote wa viwanja wameingizwa kwenye mfumo wa kielectroniki na unatumika katika kuhakiki kodi.
  • Halmashauri ya wilaya inaendelea kumilikisha viwanja katika kata za Fela na Idetemya vilivyopimwa kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo ( Shs. 5,000/= kwa meta mraba)
  • Shughuli ya uthamini inaendelea katika kata ya Fela katika eneo lenye ukubwa wa ekari 1,000 litakalotumika kama Bandari ya nchi kavu.
  •        

Matangazo

  • SHULE ZILIZOVUNJA REKODI KATIKA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE MWAKA 2024 February 01, 2025
  • TANGAZO ZABUNI UPANGISHAJI VIBANDA VYA HALMASHAURI MWAKA 2023/2024 June 28, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 20, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE WA JIMBO LA MBARALI NA MADIWANI KATIKA KATA SITA ZA TANZANIA August 10, 2023
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • DC Misungwi awataka Wananchi wa Kijiji cha Ibinza kata ya Isenengeja kudumisha amani na mshikamano.

    May 22, 2025
  • DC Misungwi akabidhi Vifaa saidizi vya Vitimwendo 15, Jezi na Mipira kwa Wanafunzi na Watoto wenye ulemavu kukwa Shule za msingi 16.

    May 21, 2025
  • Misungwi yapongeza kwa upatikanaji wa Mitambo ya kuondoa magugu maji itakayowasili mwishoni mwa mwezi julai 2025

    May 19, 2025
  • DC Misungwi awapongeza Waalimu wa Shule za Sekondari kwa ufaulu wa Asilimia 99.75

    May 16, 2025
  • Angalia yote

Video

Uzinduzi wa Tovuti za Mikoa pamoja na Halmashauri
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Takwimu za wanafunzi kitaifa
  • Taarifa
  • Kujisajili chama cha Mapinduzi-ccm
  • MFUMO WA UJAZAJI MATAMKO KWA NJIA YA MTANDAO
  • KUPATA KIUNGANISHI CHA MFUMO WA TAARIFA ZA SHULE-SIS
  • Historia ya Halmashauri
  • Sheria Mbalimbali
  • Wasiliana Nasi
  • Malalamiko

Viunganishi Linganishi

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Tamisemi
  • Mwanza Region
  • Wakala wa Serikali Mtandao (Ega)

Ramani ya Wasomaji

world map hits counter

Wasomaji

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya Misungwi

    Sanduku la Posta: P.O Box 20 MISUNGWI

    Simu ya Mezani: +255282983268

    Simu ya Mkononi: 0717259106

    Barua Pepe: ded@misungwidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2021 Misungwi District Council . All rights reserved.