Imewekwa : June 11th, 2021
Mkuu wa Wilaya ya Misungwi Juma Sweda awataka na kuwasihi Wananchi kujitokeza kumpokea Mhe, Samia Suluhu Hassan Rais wa Jmhuri ya Muungano wa Tanzania katika ziara yake ya kikazi Wilayani ...
Imewekwa : March 6th, 2021
Serikali yapongeza juhudi za Wanawake wa Kikundi cha Witogwa kujenga Nyumba bora kumi ili kuondokana na Nyumba za Nyasi na kuwa na makazi bora katika Kata ya Usagara Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi,...
Imewekwa : February 17th, 2021
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi, Mkoani Mwanza laridhia na kupitisha rasimu ya Bajeti ya mapato na matumizi ya shilingi Bilioni 44.3 kwa mwaka wa fedha 2021/2022.
Akizungumz...