Imewekwa : October 28th, 2021
Wananchi wa Kata ya Misungwi, katika Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi Mkoani Mwanza wajitokeza katika Uzinduzi wa uchimbaji wa msingi wa ujenzi wa vyumba vya Madarasa 20 katika Shule tatu za Sekondar...
Imewekwa : September 16th, 2021
Watumishi saba (7) wafukuzwa kazi kutokana na tuhuma za utoro na kukiuka kanuni za utumishi wa umma katika Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi , Mkoani Mwanza.
Mamauzi hayo yalitolewa na Baraza...
Imewekwa : August 20th, 2021
Kamati ya Siasa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mwanza imetembelea na kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi na kutoridhishwa na baadhi ya miradi.
...