• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Ardhi na Maliasili
      • Utawala na Raslimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Fedha na Biashara
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Maeneo ya Vivutio vya Utalii
    • Maeneo ya Kilimo
    • Maeneo ya Madini
    • Maeneo ya Uwekezaji wa Mazingira
  • Huduma Zetu
    • Huduma Sekta ya Afya
    • Huduma Sekta ya Elimu
    • Huduma Sekta ya Maji
    • Huduma Sekta ya Mazingira
    • Huduma Sekta ya Maendeleo ya Jamii
    • Huduma Sekta ya Ardhi na Maliasili
  • Baraza la Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Huduma za Kijamii
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba Vikao vya Halmashauri
  • Miradi mbalimbali
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Mbalimbali
    • Taratibu
    • Gazeti la Serikali
    • Taarifa
    • Fomu mbalimbali
    • Zabuni
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Video Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Habari Mpya

Maji

Idara ya maji kwa ujumla inashughulika na utoaji wa huduma ya maji safi na salama kwa wananchi waishio mjini na vijijini kupitia vyanzo mbali mbali vya maji.

Idara ya Maji ina vitengo viwili(2) ambavyo ni Maji Mjini na Vijijini. Huduma ya maji Mjini kwa sasa inatolewa kwa kiawango cha asilimia 42 kwa watu waishio mjini ,wakati Vijijini huduma ya maji ya inatolewa kwa asilimia 43. Kiwilaya Watu wanaopata huduma ya maji safi na salama ni asilimia 43 kati ya wakazi wote wa Wilaya ya Misungwi wapatao 351,607.

Vyanzo vinavyotumika kutoa huduma hii ni :-

NA 
AINA YA CHANZO
IDADI
VINAVYOFANYA KAZI
VISIVYOFANYA KAZI
1
Visima virefu

6

5

1

2
Visima vifupi

352

216

136

3
Miradi ya usambazaji

14

9

6

4
Matenki ya kuvuna maji ya mvua

55

40

15

5
Mabwawa

4

3

1

6
Miradi ya usambazaji (KASHWASA)

5

5

0

Miradi yote tajwa hapo juu inaendeshwa na vyombo vya watumiaji maji (COWSOs), Taasisi za Umma na Binafsi na kamati za maji za vijiji (VWC) au Vikundi vya watumiaji maji (WUGs) kama ivyosisitiza Sera ya Maji ya mwaka 2002 na     Sheria ya maji ya mwaka 2009 Na.12

Hadi sasa Halmashauri imeshaunda na kusajili vyombo vya Watumiaji Maji (COWSOs) 27 katika vijiji mbalimbali vya Halmashauri na COWSO 1 siyo hai.

 

      2.0 MAJUKUMU YA IDARA YA MAJI VIJIJINI NA MJINI

 

Kuandaa na Kuwasilisha bajeti ya Sekta ya Maji katika Halmashauri

Kuandaa usanifu wa miradi ya maji pamoja na kusimamia ujenzi wake kwa kuzingatia maombi kutoka vijijini

Kusimamia ujenzi wa miradi inayotekelezwa na wakandarasi.

Kusimamia kazi za Wataalam Washauri na wakandarasi walioajiriwa na Halmashauri wanaotekeleza kazi za maji.

Kusaidia sekta binafsi kutayarisha makubaliano au mapatano baina ya wilaya na vijiji, na kati ya vijiji na wakandarasi

Kufuatilia shughuli za sekta binafsi  wanaofanya shughuli za maji na kutoa ushauri.

Kusaidia vijiji kuunda vyombo vya uendeshaji wa miradi ya maji

Kutayarisha miongozo ya uendeshaji na matengenezo ya miradi ya maji itakayosaidia vijiji.

Kupanga na kuratibu mzunguko wa maendeleo ya miradi ya maji (project cicles) kwa wananchi katika sekta za umma na za watu binafsi kuhusu usambazaji maji wilayani.

Kuainisha mpango wa maendeleo ya miradi ya maji na bajeti ya mwaka ya Halmashauri ya wilaya na mpango wa maendeleo ya sekta ya maji wa Taifa. 

xi)       Kutathmini miradi ya maji vijijini kutokana na maombi ya vijiji.

xii)     Kutoa  utaalam kuhusu upimaji na usanifu wa miradi ya maji kwa    wadau wanaohusika na utekelezaji wa miradi ya maji wilayani.

xiii)    Kuainisha usanifu wa ujenzi wa mradi na usanifu wa tekenolojia ya    uendeshaji na matengenezo ya miradi wakati wa utayarishaji wa mipango ya utekelezaji wa ujenzi wa miradi.

Kufuatilia na kuhakiki usanifu unaofanywa na wahandisi washauri binafsi waliongia mkataba na Halmashauri au vijiji kwa kazi husika.

Kushauri vijiji kuhusu jinsi ya kushiriki kikamilifu katika kuchagua na kutayarisha miradi ya maji

Kusaidia utayarishaji wa mapatano na makubaliano baina ya wilaya na vijiji, au vijiji na wakandarasi, kwenye kutekeleza miradi ya maji mahali ambapo wakandarasi wanatumika.

Kuratibu na kutoa ushauri unaohitajika kwenye jumuiya ya vijiji kwenye utekelezaji na uendeshaji wa miradi ya maji

Kukusanya takwimu mbalimbali kutoka vijijini na kuzifanyia kazi ili zifikie hatua ya kuwa taarifa zinazoweza kufanyiwa kazi.

Kuweka takwimu zote za miradi ya maji za Halmashauri na sekta binafsi (benki ya takwimu) ili kusaidia katika kupanga miradi mbalimbali wilayani.

Kuhamasisha maendeleo ya wananchi kwa kuhifadhi na kutumia rasilimali ya maji.

Kuhifadhi taarifa kwenye kompyuta na kuzisambaza taarifa hizo zinakohitajika.(ndani na nje ya ofisi ya Mhandisi wa Maji wa Wilaya).

Kufanyia uchambuzi na kutathmini mfumo wa utunzaji habari na kuboresha mfumo wa  kutunza kumbukumbu hizo.

Kuandaa taarifa za kila mwezi kuhusu shuguli za sehemu ndogo.

 

Kuratibu na kusimamia utunzaji wa mazingira wa vyanzo vya maji

Kuchukua hatua zinazostahili baada ya ukaguzi kufanyika kwa lengo la kuepusha na kurekebisha endapo uharibifu umejitokeza.

Kushiriki katika kutoa elimu ya afya na usafi wa mazingira kwa jamii wakati wa ujenzi wa miradi ya maji.

 Kuelimisha jamii kuhusu uondoshaji wa maji yaliyotumika, matumizi bora ya maji na ujenzi wa vyoo bora.

Kukagua, kushauri na kusaidia jamii katika  utunzaji wa mazingira.

Kuhakikisha usafi wa mazingira katika vyanzo vya maji ili kulinda afya za watumiaji maji.

Kuratibu na kutathmini uendeshaji na matengenezo ya miradi ya maji pamoja na kutoa utaalam kwenye vijiji kuhusu uendeshaji na matengenezo ya miradi.

Kuhakiki usanifu na uwekaji wa tekenolojia ya uendeshaji  na matengenezo ya miradi inayojengwa na wakandarasi au na sekta binafsi. 

Kutayarisha miongozo ya uendeshaji na matengenezo ya miradi ya maji ambayo itaendeshwa na vijiji au sekta binafsi.

Kufuatilia uendeshaji na matengenezo ya miradi inayoendeshwa na watu binafsi au vijiji.

Kutoa utaalam kwenye ngazi ya vijiji katika kushirikisha taasisi mbalimbali za kitaifa na kimataifa pamoja na za watu binafsi kwenye uendeshaji na matengenezo ya miumdombinu ya miradi ya maji.

Kusaidia na kutoa utaalam kwenye vijiji katika kununua mashine na pampu za  kusukuma maji, zinazostahili

Kushirikiana na Timu ya Wilaya ya wataalam inayoshughulika na masuala ya Maji na Usafi wa Mazingira katika kutayarisha zabuni mbalimbali zitakazotumiwa na Halmashauri na sekta binafsi katika uendeshaji wa miradi ya maji

Kutoa ushauri wa kitaalam kwa vijiji katika kuandaa vyombo vyao vya uendeshaji na matengenezo ya miradi ya maji

Kukagua, kutathimini na kuratibu ubora wa maji kabla na baada ya ujenzi wa miradi na wakati wa uendeshaji.

 Kupitia miongozo na mifumo ya ujazaji wa takwimu ya uendeshaji

Matangazo

  • SHULE ZILIZOVUNJA REKODI KATIKA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE MWAKA 2024 February 01, 2025
  • TANGAZO ZABUNI UPANGISHAJI VIBANDA VYA HALMASHAURI MWAKA 2023/2024 June 28, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 20, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE WA JIMBO LA MBARALI NA MADIWANI KATIKA KATA SITA ZA TANZANIA August 10, 2023
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • DC Misungwi awapongeza Waalimu wa Shule za Sekondari kwa ufaulu wa Asilimia 99.75

    May 16, 2025
  • DAS Misungwi awapongeza Watendaji Halmashauri kwa kushirikiana na Madiwani katika kuongeza ufanisi na ukusanyaji wa Mapato.

    April 29, 2025
  • Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi yafanya ziara ya yatembelea na kupata mafunzo kutoka Halmashauri ya Wilaya ya nyang'hwale Mkoani Geita

    April 25, 2025
  • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango yaridhishwa na miradi ya maendeleo ya Halmashauri Wilaya ya Misungwi

    April 23, 2025
  • Angalia yote

Video

Uzinduzi wa Tovuti za Mikoa pamoja na Halmashauri
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Takwimu za wanafunzi kitaifa
  • Taarifa
  • Kujisajili chama cha Mapinduzi-ccm
  • MFUMO WA UJAZAJI MATAMKO KWA NJIA YA MTANDAO
  • KUPATA KIUNGANISHI CHA MFUMO WA TAARIFA ZA SHULE-SIS
  • Historia ya Halmashauri
  • Sheria Mbalimbali
  • Wasiliana Nasi
  • Malalamiko

Viunganishi Linganishi

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Tamisemi
  • Mwanza Region
  • Wakala wa Serikali Mtandao (Ega)

Ramani ya Wasomaji

world map hits counter

Wasomaji

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya Misungwi

    Sanduku la Posta: P.O Box 20 MISUNGWI

    Simu ya Mezani: +255282983268

    Simu ya Mkononi: 0717259106

    Barua Pepe: ded@misungwidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2021 Misungwi District Council . All rights reserved.