Imewekwa : December 20th, 2019
Wananchi Wilayani Misungwi Mkoani Mwanza washauriwa kuzitumia kikamilifu mvua zinazoendelea kunyesha kwa kulima mazao ya chakula na biashara ili kuweza kupata mavuno ya kutosha kwa msimu huu.
...
Imewekwa : December 7th, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Dkt. John Pombe Magufuli amewataka Wananchi wa Wilaya ya Misungwi hususan vijana wa maeneo ya karibu na mradi wa ujenzi wa daraja la Kigongo –Busisi kuc...
Imewekwa : November 9th, 2019
Mradi wa Jengo la ofisi ya Uthibiti Ubora wa Shule wenye gharama ya shilingi millioni 134.5 umefunguliwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe, Prof. Joyce Ndalichako (MB) katika Halmas...