• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Ardhi na Maliasili
      • Utawala na Raslimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Fedha na Biashara
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Ufugaji Nyuki
      • Sport, Culture and Arts Unit
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Maeneo ya Vivutio vya Utalii
    • Maeneo ya Kilimo
    • Maeneo ya Madini
    • Maeneo ya Uwekezaji wa Mazingira
  • Huduma Zetu
    • Huduma Sekta ya Afya
    • Huduma Sekta ya Elimu
    • Huduma Sekta ya Maji
    • Huduma Sekta ya Mazingira
    • Huduma Sekta ya Maendeleo ya Jamii
    • Huduma Sekta ya Ardhi na Maliasili
  • Baraza la Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Huduma za Kijamii
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba Vikao vya Halmashauri
  • Miradi mbalimbali
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Mbalimbali
    • Taratibu
    • Gazeti la Serikali
    • Taarifa
    • Fomu mbalimbali
    • Zabuni
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Video Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Habari Mpya

Sport, Culture and Arts Unit

Majukumu ya kitengo Cha utamaduni Sanaa na Michezo

  1. Kusimamia, kuratibu na kutoa ushauri wa kitaalamu  juu ya ubunifu, uzalishaji, usambazaji, utumiaji na uhifadhi wa kazi za Sanaa .
  2.  Kuratibu mashindano ya michezo ya shule za msingi, sekondari, kata na mashindano ya Michezo ya watumishi kwa kushirikiana na wadau wa michezo.
  3. Kusimamia na kuratibu utoaji wa vibali vitokanavyo na kazi za sanaa na Michezo ili kuongeza mapato ya  halmashauri.
  4.  Kutoa ushauri wa kitaalamu kuhusu uendeshaji, mafunzo, na maendeleo ya michezo kwa viongozi wa vilabu na wachezaji.
  5. Kusimamia sera ya maendeleo ya michezo pamoja na sera ya maendeleo ya utamaduni.
  6. Kuhamasisha uzalendo, utaifa, maadili na kulinda Tunu mbalimbali
  7.  Kuhamasisha jamii kushiriki katika shughuli za michezo na mazoezi ya mwili ili kuboresha afya na mshikamano wa kijamii.
  8. Kusimamia na kuratibu shughuli za BASATA, BAKITA, BMT,COSOTA , MFUKO WA UTAMADUNI pamoja na BODI YA FILAMU
  9. Kufuatilia na kutathmini maendeleo ya michezo katika ngazi ya kata na wilaya
  10. Kutafiti masuala ya lugha, Sanaa, mila na desturi katika eneo  la kazi.
  11. Kutoa ushauri kwa Waandaji, Watengenezaji na Waonyeshaji wa filamu kuhusu uzingatiaji wa maadili, mila na desturi.
  12. Kutoa elimu kwa jamii kuhusu Mila na desturi zinazoathiri usalama wa makundi maalumu na zinazosababisha kuwepo kwa majanga na mmomonyoko wa maadili
  13. Kukagua na kusajili miundombinu ya kazi za Sanaa,vyama,vilabu pamoja na taasisi /kampuni zinazo jishughurisha na kazi za Sanaa ngazi ya wilaya.

Matangazo

  • MATOKEO YA MITIHANI YA KIDATO CHA SITA ACSEE MWAKA 2025 July 07, 2025
  • TANGAZO ZABUNI UPANGISHAJI VIBANDA VYA HALMASHAURI MWAKA 2023/2024 June 28, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 20, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE WA JIMBO LA MBARALI NA MADIWANI KATIKA KATA SITA ZA TANZANIA August 10, 2023
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • DC Misungwi Mhe. Johari Samizi ahamasisha Ujenzi wa Zahanati Mpya Kufuatia Kuhalibiwa na Mvua Zahanati Iliyokuwepo.

    November 15, 2025
  • DC Misungwi awahamasisha Wananchi kujitokeze kushiriki Uchaguzi Mkuu 2025 kwa amani na utulivu

    October 27, 2025
  • DC Misungwi amewataka Wananchi kuhakikisha wanazingatia sheria, taratibu na kuepuka kujichukulia sheria mkononi na kuendelea kutoa ushirikiano kwa Kamati ya usalma

    September 20, 2025
  • DC Misungwi awataka Wananchi wa Kijiji cha Ibinza kata ya Isenengeja kudumisha amani na mshikamano.

    May 22, 2025
  • Angalia yote

Video

Uzinduzi wa Tovuti za Mikoa pamoja na Halmashauri
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Takwimu za wanafunzi kitaifa
  • Taarifa
  • Kujisajili chama cha Mapinduzi-ccm
  • MFUMO WA UJAZAJI MATAMKO KWA NJIA YA MTANDAO
  • KUPATA KIUNGANISHI CHA MFUMO WA TAARIFA ZA SHULE-SIS
  • Historia ya Halmashauri
  • Sheria Mbalimbali
  • Wasiliana Nasi
  • Malalamiko

Viunganishi Linganishi

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Tamisemi
  • Mwanza Region
  • Wakala wa Serikali Mtandao (Ega)

Ramani ya Wasomaji

world map hits counter

Wasomaji

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya Misungwi

    Sanduku la Posta: P.O Box 20 MISUNGWI

    Simu ya Mezani: +255282983268

    Simu ya Mkononi: 0717259106

    Barua Pepe: ded@misungwidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2021 Misungwi District Council . All rights reserved.