Imewekwa : August 20th, 2021
Kamati ya Siasa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mwanza imetembelea na kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi na kutoridhishwa na baadhi ya miradi.
...
Imewekwa : August 13th, 2021
Mkuu wa Wilaya ya Misungwi Veronica Kessy atembelea na kukagua maeneo ya wachimbaji wa Madini na kuwahakikishia ushirikiano na Serikali kutatua changamoto zinazowakabili Wachimbaji Wilayani humo...
Imewekwa : July 14th, 2021
Serikali yaanza zoezi la upimaji wa ardhi na utoaji wa Leseni za makazi kwa Wananchi wa Kata ya Misungwi katika Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi, Mkoani Mwanza.
Akizungumza na Waandishi wa Habari,...