• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Ardhi na Maliasili
      • Utawala na Raslimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Fedha na Biashara
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Maeneo ya Vivutio vya Utalii
    • Maeneo ya Kilimo
    • Maeneo ya Madini
    • Maeneo ya Uwekezaji wa Mazingira
  • Huduma Zetu
    • Huduma Sekta ya Afya
    • Huduma Sekta ya Elimu
    • Huduma Sekta ya Maji
    • Huduma Sekta ya Mazingira
    • Huduma Sekta ya Maendeleo ya Jamii
    • Huduma Sekta ya Ardhi na Maliasili
  • Baraza la Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Huduma za Kijamii
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba Vikao vya Halmashauri
  • Miradi mbalimbali
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Mbalimbali
    • Taratibu
    • Gazeti la Serikali
    • Taarifa
    • Fomu mbalimbali
    • Zabuni
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Video Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Habari Mpya

Ziara ya Katibu Mkuu CCM Taifa Wilayani Misungwi

  • Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Dokta, Bashiru Ally, akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi, Kisena Mabuba na (kushoto ) ni Katibu wa CCM Wilaya , Latifa Malimi mara baada ya kuwasili Wilayani Misungwi, katika Viwanja vya Standi ya Mabasi Usagara kwa ajili ya Ziara ya kikazi iliyofanyika hivi karibuni.

    Katibu Mkuu wa CCM Taifa Dokta Bashiru Ally akishiiki kujenga na kupiga lipu katika Jengo la Ofisi ya CCM ya Kijij cha Ng"ombe Kata ya Igokelo mara baada ya kuweka jiwe la Msingi wakati wa Ziara ya kikazi Wilayani humu.

    Katibu Mkuu wa CCM Taifa Dokta, Bashiru Ally akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi ngazi ya Wilaya ya Misungwi mara tu baada ya kuwasili katika viwanja vya Standi ya Usagara.

    Katibu Mkuu wa CCM Taifa Dokta Bashiru Ally akisalimiana na kukaribishwa Wilayani Misungwi na Katibu Tawala Wilaya ya Misungwi, Petro Sabatto alipotembelea Wilayani hapa kwa ziara ya kikazi na kukagua miradi pamoja na kuzungumza na Viongozi wa Chama na Serikali.

    Katibu Mkuu wa CCM Taifa Dokta Bashiru Ally akisisitiza jambo kuhusu Viongozi wa Chama cha Mapinduzi na Serikali kwa ujumla kuwa waadilifu, kuwajibika kikamilifu katika kuwatumikia Watanzania na kuleta maendeleo chanya ya kiuchumi na kijamii,wakati akiwahutubia Viongozi wa CCM na Viongozi wa Serikali katika Ukumbi wa MGS Wilayani Misungwi mara baada ya kukagua na kuona mradi wa Kiwanda cha kutengeneza Mikanda ya Gypsum cha Vijana cha Usagara Gypsum Group.

    Viongozi wa CCM wa Kata,Matawi,na Mashina wa Wilaya ya Misungwi wakimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu wa CCM Taifa ,Dokta, Bashiru Ally wakati akizungumza na Viongozi hao katika Ukumbi wa MGS Hoteli katika ziara ya kikazi hivi karibuni.

    Katibu Mkuu wa CCM Taifa Dokta Bashiru Ally akiwahutubia Viongozi wa Chama cha Mapinduzi mara baada ya kuweka jiwe la Msingi katika Ujenzi wa Jengo la Ofisi ya CCM ya Kijiji cha Ng"ombe Kata ya Igokelo na kuwaeleza kuwa washiriki kikamilifu katika uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa na kujitokeza kugombea nafasi za uongozi na kupata Viongozi bora na wanaojituma.

    Katibu Mkuu wa CCM Taifa Dokta Bashiru Ally akipokea na kutoa maelezo na pongezi kuhusu utekelezaji wa shughuli ya mradi wa Kiwanda cha Kutengeneza Mikanda ya Gypsum cha Vijana wa Usagara kwa Viongozi na Vijana wenye Kikundi cha Mradi huo Wilayani Misungwi.

    Mmoja wa Vijana wa Kikundi cha Usagara Gypsum Group akionyesha namna wanavyotengeneza Mikanda ya Gypsum kwa Katibu Mkuu wa CCM Taifa Dokta Bashiru Ally alipowatembelea kuona sghughuli za mradi huu zinvyotekelezwa wakati wa Ziara ya kikazi Wilayani Misungwi.

    Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Misungwi, Daud Gambadu akimkaribisha Katibu Mkuu wa CCM Taifa Dokta Bashiru Ally kuzungumza na Viongozi wa chama na Serikali katika ukumbi wa Hoteli ya MGS Misungwi.

    Mbunge wa Jimbo la Misungwi, Mhe, Charles Kitwanga akiwasilisha hoja na kilio cha Wananchi wa Jimbo la Misungwi cha Ukosefu wa Maji katika Mji wa Usagara na maeneo ya Misungwi kwa Katibu Mkuu wa CCM Taifa pamoja ili aweze kuifikisha hoja hiyo kwa Mhe, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli kwa ufumbuzi na utatuzi wa haraka.

    Mkuu wa Wilaya ya Misungwi Mhe,Veronica Kessy akishiriki katika uchimbaji wa Msingi na Wananchi katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Mwangwa ilipo kata ya Mabuki Wilaya ya Misungwi hivi karibuni.

Matangazo

  • SHULE ZILIZOVUNJA REKODI KATIKA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE MWAKA 2024 February 01, 2025
  • TANGAZO ZABUNI UPANGISHAJI VIBANDA VYA HALMASHAURI MWAKA 2023/2024 June 28, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 20, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE WA JIMBO LA MBARALI NA MADIWANI KATIKA KATA SITA ZA TANZANIA August 10, 2023
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • DC Misungwi awataka Wananchi wa Kijiji cha Ibinza kata ya Isenengeja kudumisha amani na mshikamano.

    May 22, 2025
  • DC Misungwi akabidhi Vifaa saidizi vya Vitimwendo 15, Jezi na Mipira kwa Wanafunzi na Watoto wenye ulemavu kukwa Shule za msingi 16.

    May 21, 2025
  • Misungwi yapongeza kwa upatikanaji wa Mitambo ya kuondoa magugu maji itakayowasili mwishoni mwa mwezi julai 2025

    May 19, 2025
  • DC Misungwi awapongeza Waalimu wa Shule za Sekondari kwa ufaulu wa Asilimia 99.75

    May 16, 2025
  • Angalia yote

Video

Uzinduzi wa Tovuti za Mikoa pamoja na Halmashauri
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Takwimu za wanafunzi kitaifa
  • Taarifa
  • Kujisajili chama cha Mapinduzi-ccm
  • MFUMO WA UJAZAJI MATAMKO KWA NJIA YA MTANDAO
  • KUPATA KIUNGANISHI CHA MFUMO WA TAARIFA ZA SHULE-SIS
  • Historia ya Halmashauri
  • Sheria Mbalimbali
  • Wasiliana Nasi
  • Malalamiko

Viunganishi Linganishi

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Tamisemi
  • Mwanza Region
  • Wakala wa Serikali Mtandao (Ega)

Ramani ya Wasomaji

world map hits counter

Wasomaji

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya Misungwi

    Sanduku la Posta: P.O Box 20 MISUNGWI

    Simu ya Mezani: +255282983268

    Simu ya Mkononi: 0717259106

    Barua Pepe: ded@misungwidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2021 Misungwi District Council . All rights reserved.