Taarifa_ya_Miradi_ya_SEDP_II_Mwaka_2016.pdf
Mradi wa Ujenzi wa Vyumba 4 (vinne) vya Madarasa na Vyoo vyenye matundu 8 kama unavyonekana pichani hapo juu ambayo ni Picha na 1 niMajengo mawili ya Vyumba vinne (4) vya Madrasa na Picha inayofuta ni Jengo la vyumba viwili (2) vya madarasa pamoja na Jengo la Choo yaliyojengwa katika Shule ya Sekondari Nyabumhuhanda kwa ufadhili wa fedha za Mpango wa SEDP ambapo Ujenzi wa Majengo hayo umekamilika kwa kiwango na ubora na kukidhi mahitaji ya Wanafunzi.wa Shule hiyo na wameweza kusoma vizuri kwa sasa kutokana na mazingira ya miundombinu kuboreka
Halmashauri ya Wilaya Misungwi
Sanduku la Posta: P.O Box 20 MISUNGWI
Simu ya Mezani: +255282983268
Simu ya Mkononi: 0717259106
Barua Pepe: ded@misungwidc.go.tz
Copyright ©2021 Misungwi District Council . All rights reserved.