Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Budutu Kata ya Kanyelele,Nicolaus Ndila avuliwa Madaraka kwa kushindwa kutekeleza na kusimamia Majukuu pamoja na kutosimamia Mapato na Matumizi ya fedha za Shule.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri,Eliurd Mwaiteleke akiwa katika Ziara ya kukagua Miradi na Shughuli za Maendeleo katika Kata ya Kanyelele aliagiza kuvuliwa Madaraka kwa Mwalimu Nicolaus Ndila na kuelekeza Afisa Elimu wa Msingi kumkaimisha Mwalimu Shaban Manyama kuanzia tarehe ya agizo hilo ikiwa ni kuleta mabadiliko na kuongeza tija na uafanisi kazini.
Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ,Eliurd Mwaiteleke akikagua Shamba la Pamba la Hekari 3 katika Shule ya Msingi Budutu wakatia wa ziara katika Kata ya Kanyelele.
Halmashauri ya Wilaya Misungwi
Sanduku la Posta: P.O Box 20 MISUNGWI
Simu ya Mezani: +255282983268
Simu ya Mkononi: 0717259106
Barua Pepe: ded@misungwidc.go.tz
Copyright ©2021 Misungwi District Council . All rights reserved.