• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Ardhi na Maliasili
      • Utawala na Raslimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Fedha na Biashara
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Maeneo ya Vivutio vya Utalii
    • Maeneo ya Kilimo
    • Maeneo ya Madini
    • Maeneo ya Uwekezaji wa Mazingira
  • Huduma Zetu
    • Huduma Sekta ya Afya
    • Huduma Sekta ya Elimu
    • Huduma Sekta ya Maji
    • Huduma Sekta ya Mazingira
    • Huduma Sekta ya Maendeleo ya Jamii
    • Huduma Sekta ya Ardhi na Maliasili
  • Baraza la Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Huduma za Kijamii
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba Vikao vya Halmashauri
  • Miradi mbalimbali
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Mbalimbali
    • Taratibu
    • Gazeti la Serikali
    • Taarifa
    • Fomu mbalimbali
    • Zabuni
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Video Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Habari Mpya

Mkoa wa Mwanza wakabidhi mbio za Mwenge wa Uhuru kwa Mkoa wa Mara kwa kishindo.

Imewekwa : September 3rd, 2018

Mkoa wa Mwanza wakabidhi Mbio za  Mwenge wa Uhuru kwa Mkoa wa Mara kwa kishindo kwa ajili ya kukimbizwa katika Halmashauri nane za Mkoa huo baada ya kumaliza mbio katika Halmashauri nane za Mkoa huu.

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Ndg,Charles Francis Kabeho akiagana na kutakiana heri na mafanikio Mkuu wa Wilaya ya Misungwi Mhe,Juma Sweda katika uwanja wa Kisorya Wilayani Bunda katika makabidhibiano Mkoani Mara.

Mkuu wa Wilaya ya Sengerema Mhe,Emmanuel Kipole kwa niaba ya  Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe,John Mongela mapema leo amekabidhi Mwenge wa Uhuru mwaka 2018 kwa Mkuu wa Wilaya ya Serengeti Mhe,Nurdin Babu aliyemwakilishi Mkuu wa Mkoa wa Mara,Mhe Adamu Kigoma Malima na kueleza kwamba Mwenge wa Uhuru umemeliza salama mbio zake katika Halmashauri nane za Mkoa wa Mwanza na umeweza kuzindua,kuweka Jiwe la Msingi,kufungua na kukagua miradi na shughuli mbalimbali za maendeleo kuanzia tarehe 26 Agosti, 2018 ulipopokelewa Kimkoa katika Kijiji cha Izizimba A katika Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba na kukamilisha mbio hizo tarehe 2 Agosti, 2018 katika Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe.

Mratibu wa Mwenge wa Uhuru wa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi,Ndg,Abdallah Ramadhani (Aliyechuchumaa chini kushoto) akiwa mwenye furaha pamoja na Wakimbiza Mwenge kitaifa wakati wa kukabidhi Mwenge Wilayani Bunda Mkoani Mara.

Baadhi ya Viongozi wa ngazi ya Mkoa wa Mara wakisubiri kwa hamu kuupokea Mwenge wa Uhuru kutoka Mkoani Mwanza.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Serengeti Mhe,Nurdin Babu kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mara amepokea Mwenge wa Uhuru mwaka 2018 na kukiri kuupokea ukiwa salama na unawaka na kumeremeta pamoja na Wakimbiza Mwenge wa kitaifa sita wakiongozwa na Kiongozi wa mbio za Mwenge Ndugu, Charles Francis Kabeho wakiwa na Afya njema na wenye umahiri mkubwa wa kazi na kwamba ukiwa katika Mkoa wa Mara utakimbizwa kwa kuzingatia ratiba ilivyopangwa.


Matangazo

  • SHULE ZILIZOVUNJA REKODI KATIKA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE MWAKA 2024 February 01, 2025
  • TANGAZO ZABUNI UPANGISHAJI VIBANDA VYA HALMASHAURI MWAKA 2023/2024 June 28, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 20, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE WA JIMBO LA MBARALI NA MADIWANI KATIKA KATA SITA ZA TANZANIA August 10, 2023
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • DC Misungwi awataka Wananchi wa Kijiji cha Ibinza kata ya Isenengeja kudumisha amani na mshikamano.

    May 22, 2025
  • DC Misungwi akabidhi Vifaa saidizi vya Vitimwendo 15, Jezi na Mipira kwa Wanafunzi na Watoto wenye ulemavu kukwa Shule za msingi 16.

    May 21, 2025
  • Misungwi yapongeza kwa upatikanaji wa Mitambo ya kuondoa magugu maji itakayowasili mwishoni mwa mwezi julai 2025

    May 19, 2025
  • DC Misungwi awapongeza Waalimu wa Shule za Sekondari kwa ufaulu wa Asilimia 99.75

    May 16, 2025
  • Angalia yote

Video

Uzinduzi wa Tovuti za Mikoa pamoja na Halmashauri
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Takwimu za wanafunzi kitaifa
  • Taarifa
  • Kujisajili chama cha Mapinduzi-ccm
  • MFUMO WA UJAZAJI MATAMKO KWA NJIA YA MTANDAO
  • KUPATA KIUNGANISHI CHA MFUMO WA TAARIFA ZA SHULE-SIS
  • Historia ya Halmashauri
  • Sheria Mbalimbali
  • Wasiliana Nasi
  • Malalamiko

Viunganishi Linganishi

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Tamisemi
  • Mwanza Region
  • Wakala wa Serikali Mtandao (Ega)

Ramani ya Wasomaji

world map hits counter

Wasomaji

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya Misungwi

    Sanduku la Posta: P.O Box 20 MISUNGWI

    Simu ya Mezani: +255282983268

    Simu ya Mkononi: 0717259106

    Barua Pepe: ded@misungwidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2021 Misungwi District Council . All rights reserved.