Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi,imepokea Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2017 kwa kuzindua,kuweka mawe ya msingi,kufungua na kukagua Miradi yenye jumla ya Tsh,Billioni 2.2,ambapo Mwenge wa Uhuru ulipokelewa katika eneo la Kivuko cha Kigongo ukitokea Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema tarehe 17/8/2017.
.
Halmashauri ya Wilaya Misungwi
Sanduku la Posta: P.O Box 20 MISUNGWI
Simu ya Mezani: +255282983268
Simu ya Mkononi: 0717259106
Barua Pepe: ded@misungwidc.go.tz
Copyright ©2021 Misungwi District Council . All rights reserved.