• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Ardhi na Maliasili
      • Utawala na Raslimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Fedha na Biashara
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Maeneo ya Vivutio vya Utalii
    • Maeneo ya Kilimo
    • Maeneo ya Madini
    • Maeneo ya Uwekezaji wa Mazingira
  • Huduma Zetu
    • Huduma Sekta ya Afya
    • Huduma Sekta ya Elimu
    • Huduma Sekta ya Maji
    • Huduma Sekta ya Mazingira
    • Huduma Sekta ya Maendeleo ya Jamii
    • Huduma Sekta ya Ardhi na Maliasili
  • Baraza la Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Huduma za Kijamii
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba Vikao vya Halmashauri
  • Miradi mbalimbali
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Mbalimbali
    • Taratibu
    • Gazeti la Serikali
    • Taarifa
    • Fomu mbalimbali
    • Zabuni
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Video Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Habari Mpya

Misungwi yaanza Vikao vya Kisheria vya Mapato na Matumizi kwa Mwaka 2024/2025

Imewekwa : January 15th, 2024

Menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi yaanza Vikao vya kisheria kupitia Makisio ya mpango wa bajeti ya Mapato na Matumizi ya fedha za utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo na Matumizi ya kawaida kwa Mwaka 2024/2025.

Akizungumza katika Kikao cha Menejimenti ya Halmashauri mapema leo 15, Januari, 2024 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Misungwi Bw. Joseph Mafuru ameeleza kwamba mchakato wa Maandalizi ya Makisio ya Bajeti ya Mapato na.Matumizi kwa mwaka ujao 2024/2025 unaendelea kwa kila Idara na Kitengo kuweka mpango wa Bajeti ya Mapato na Matumizi kulingana na shughuli na Miradi itakayotekelezwa kupitia fedha za Mapato ya ndani pamoja na fedha za Ruzuku ya Serikali kuu na Wafadhili kwa Mwaka wa fedha ujao.

Bw, Mafuru amewataka Wakuu wa Idara na Vitengo kuhakikisha wanaweka na kupanga Makisio ya Bajeti ya Mapato kwa uhalisia kulingana na namna ya ukusanyaji na Mapato  pamoja na kuwa wabunifu katika kuibua vyanzo mbalimbali kwa lengo la kuleta tija na manufaa kwa Wananchi.

Kwa upande wake Afisa Mipango wa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi Bi. Peniel Titus amesema kwamba wanatarajia  kuwa na  Makisio ya Bajeti ya Mapato na Matumizi ya zaidi ya Shilingi Bilioni 52 kwa mwaka wa fedha wa 2024/2025 ambayo inatarajiwa kutumika kutekeleza Miradi ya Maendeleo, Matumizi ya kawaida pamoja na  mishahara ya Watumishi kwa mwaka wa fedha 2024/2025,pia bajeti hii itaendelea kuboreshwa na kurekebishwa kulingana na matakwa ya kisheria na kibajeti pamoja na miongozo mbalimbali ikiwemo na kupitishwa katika vikao vya kisheria pamoja na kuidhinishwa na Baraza la Madiwani la Halmashauri.

Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi kwa mwaka huu wa fedha 2023/2024 unaoishia mwezi Juni 2024 ilikisia kukusanya na kutumia Bajeti ya Shilingi 54 kutekeleza Miradi ya Maendeleo, Matumizi ya kawaida pamoja na  mishahara ya Watumishi.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi Bw,Joseph Mafuru akiongoza kikao cha maksio ya Bajeti ya mwaka wa fedha 2024/2025 leo mapema katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi.

Wakuu wa Idara na Vitengo wakisikiliza kwa makini na kuchangia hoja mbalimbali katika kikao cha  makisio  ya Bajeti ya Mwaka wa fedha 2024/2025 katika ukumbi mkubwa  wa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi,ambapo Vikao vya kisheria vimeanza kufanyika leo.

Matangazo

  • SHULE ZILIZOVUNJA REKODI KATIKA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE MWAKA 2024 February 01, 2025
  • TANGAZO ZABUNI UPANGISHAJI VIBANDA VYA HALMASHAURI MWAKA 2023/2024 June 28, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 20, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE WA JIMBO LA MBARALI NA MADIWANI KATIKA KATA SITA ZA TANZANIA August 10, 2023
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • DC Misungwi awataka Wananchi wa Kijiji cha Ibinza kata ya Isenengeja kudumisha amani na mshikamano.

    May 22, 2025
  • DC Misungwi akabidhi Vifaa saidizi vya Vitimwendo 15, Jezi na Mipira kwa Wanafunzi na Watoto wenye ulemavu kukwa Shule za msingi 16.

    May 21, 2025
  • Misungwi yapongeza kwa upatikanaji wa Mitambo ya kuondoa magugu maji itakayowasili mwishoni mwa mwezi julai 2025

    May 19, 2025
  • DC Misungwi awapongeza Waalimu wa Shule za Sekondari kwa ufaulu wa Asilimia 99.75

    May 16, 2025
  • Angalia yote

Video

Uzinduzi wa Tovuti za Mikoa pamoja na Halmashauri
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Takwimu za wanafunzi kitaifa
  • Taarifa
  • Kujisajili chama cha Mapinduzi-ccm
  • MFUMO WA UJAZAJI MATAMKO KWA NJIA YA MTANDAO
  • KUPATA KIUNGANISHI CHA MFUMO WA TAARIFA ZA SHULE-SIS
  • Historia ya Halmashauri
  • Sheria Mbalimbali
  • Wasiliana Nasi
  • Malalamiko

Viunganishi Linganishi

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Tamisemi
  • Mwanza Region
  • Wakala wa Serikali Mtandao (Ega)

Ramani ya Wasomaji

world map hits counter

Wasomaji

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya Misungwi

    Sanduku la Posta: P.O Box 20 MISUNGWI

    Simu ya Mezani: +255282983268

    Simu ya Mkononi: 0717259106

    Barua Pepe: ded@misungwidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2021 Misungwi District Council . All rights reserved.