Halmashauri yatoa Pikikipi Nane kwa Maafisa Tarafa na Watendaji wa Kata kwa ajili kurahisisha na kuboresha utendaji kazi na ufuatiliaji wa shughuli mbalimbali za Maendeleo zinazotekelezwa katika maeneo hayo.
Mkuu wa Wilaya ya Misungwi,Juma Sweda amewataka Maafisa hao kuzitunza na kuzitumia kikamilifu kwa malengo yaliyokusudiwa ili kuweza kuleta maendeleo kwa Wananchi na tija kwa taifa.
Halmashauri ya Wilaya Misungwi
Sanduku la Posta: P.O Box 20 MISUNGWI
Simu ya Mezani: +255282983268
Simu ya Mkononi: 0717259106
Barua Pepe: ded@misungwidc.go.tz
Copyright ©2021 Misungwi District Council . All rights reserved.