Halmashauri ya Misungwi yatoa Mafunzo ya Kilimo cha Biashara na ujasiliamali kwa Wananchi zaidi ya 200 wa Vijiji vya Kasololo na Matale katika Kata ya Kasololo na Sumbugu ikiwa ni Utekelezaji wa mradi na Mpango wa MKURABITA unaotekelezwa katika Halmashauri 51 Tanzania.
Halmashauri ya Wilaya Misungwi
Sanduku la Posta: P.O Box 20 MISUNGWI
Simu ya Mezani: +255282983268
Simu ya Mkononi: 0717259106
Barua Pepe: ded@misungwidc.go.tz
Copyright ©2021 Misungwi District Council . All rights reserved.