Wednesday 15th, January 2025
@Kata ya Koromije
Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani itafanyika Kimkoa katika Kata ya Koromije katikia Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi kuanzia saa 10.00 asubuhi hadi saa 8.30 Mchana na yanatarajiwa kushirikisha Wananchi wote wa Wilaya ya Misungwi pamoja na Watumishi wa umma kutoka katika maeneo ya Wilaya za Mkoa wa Mwanza.
Halmashauri ya Wilaya Misungwi
Sanduku la Posta: P.O Box 20 MISUNGWI
Simu ya Mezani: +255282983268
Simu ya Mkononi: 0717259106
Barua Pepe: ded@misungwidc.go.tz
Copyright ©2021 Misungwi District Council . All rights reserved.