Waziri wa Nishati, Dkt, Medard Kalemani akisalimiana na Viongozi wa Wilaya ya Misungwi akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Misungwi, Juma Sweda mara baada ya kuwasili kwa ziara ya kikazi Wilayani humu.
Waziri wa Nishati, Dkt, Medard Kalemani akitoa maelekezo kwa Watendaji wa TANNESCO Wilaya ya Misungwi na Nyamagana kuhusu maeneo ya makazi ya Wananchi ambayo hayajawekewa miundombinu ya umeme katika Vijiji vya Kata ya Usagara Wilayani Misungwi
Halmashauri ya Wilaya Misungwi
Sanduku la Posta: P.O Box 20 MISUNGWI
Simu ya Mezani: +255282983268
Simu ya Mkononi: 0717259106
Barua Pepe: ded@misungwidc.go.tz
Copyright ©2021 Misungwi District Council . All rights reserved.