Idara ya Ardhi inatekeleza sheria na kuzingatia taratibu zilizopo katika utoaji wa Hati ya Kiwanja ambazo nai pamoja na mteja anatakiwa kuandika Barua ya maombi na kujaza Fomu Na.19 inayopatikana kwa gharama ya Tsh,20,000/= na baadaye utalipia gharama ya Ada ya uaandaaji wa Hati ambayo inategemea ukubwa wa Kiwanja na matumizi ya kiwanja hicho na itatakiwa kupitishwa kwenye Vikao halali vya kisheria vya Halmashauri na kuidhinishwa na Kamishina wa Ardhi.
Halmashauri ya Wilaya Misungwi
Sanduku la Posta: P.O Box 20
Simu ya Mezani: 255 732980745
Simu ya Mkononi: 0763686106
Barua Pepe: ded@misungwidc.go.tz
Hatimiliki ©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi . Haki zote zimehifadhiwa