Naibu u Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu kazi Vijana Ajira na Wenye ulemavu Mhe.Patroas Katambi akisalimiana na Viongozi mbalimbali ngazi ya Wilaya katika Ofisi ya mkuu wa Wilaya ya misungwi mapema wiki hii
Mhe,Katambi akitoa maelekezo wakati wa ziara yake akiwa katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Misungwi alipotembelea na kukagua mradi wa unenepeshaji wa Mifugo katika shamba la mifugo Mabuki Wilayani Misungwi.
Mhe, Patrobas Paschal Katambi akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Misungwi Mkoani Mwanza.Agosti,2023
Watendaji na Viongozi mbalimbali ngazi ya Wilaya wakisikiliza kwa makini maelekezo ya Naibu Waziri Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Mhe,Patrobas Paschal Katambi katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Misungwi Agosti 2023
Naibu Waziri Mhe,Katambi akipokea maelezo juu ya mradi wa unenepeshaji mifugo ulipo katika Kata ya Mabuki Wilayani Misungwi alipotembelea na kukagua wakati ziara yake mapema Agosti 2023
Mwonekano wa Mradi wa unenepeshaji mifugo Mabuki Wilayani Misungwi
Mhe,Katambi akikagua wa mradi unenepeshaji wa mifungo katika shamba la mifugo Mabuki Wilayani Misungwi Agosti 2023.
Halmashauri ya Wilaya Misungwi
Sanduku la Posta: P.O Box 20 MISUNGWI
Simu ya Mezani: +255282983268
Simu ya Mkononi: 0717259106
Barua Pepe: ded@misungwidc.go.tz
Copyright ©2021 Misungwi District Council . All rights reserved.