Afisa Elimu wa Sekondari Wilaya,Diana Kuboja alitoa agizo hilo wakati wa Uzinduzi wa Club ya FEMA katika Sekondali ya Misungwi,na kuwataka Wakuu wa Shule za Sekondari wote Wilayani humo kuhamasisha na kuunda Club za Wanafunzi na kuwaelimisha wanafunzi mambo ya Ujasiliamali.IMG_20170418_124722 - Copy.jpgIMG_20170418_132225 - Copy.jpg
Halmashauri ya Wilaya Misungwi
Sanduku la Posta: P.O Box 20 MISUNGWI
Simu ya Mezani: +255282983268
Simu ya Mkononi: 0717259106
Barua Pepe: ded@misungwidc.go.tz
Copyright ©2021 Misungwi District Council . All rights reserved.