• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Ardhi na Maliasili
      • Utawala na Raslimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Fedha na Biashara
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Maeneo ya Vivutio vya Utalii
    • Maeneo ya Kilimo
    • Maeneo ya Madini
    • Maeneo ya Uwekezaji wa Mazingira
  • Huduma Zetu
    • Huduma Sekta ya Afya
    • Huduma Sekta ya Elimu
    • Huduma Sekta ya Maji
    • Huduma Sekta ya Mazingira
    • Huduma Sekta ya Maendeleo ya Jamii
    • Huduma Sekta ya Ardhi na Maliasili
  • Baraza la Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Huduma za Kijamii
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba Vikao vya Halmashauri
  • Miradi mbalimbali
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Mbalimbali
    • Taratibu
    • Gazeti la Serikali
    • Taarifa
    • Fomu mbalimbali
    • Zabuni
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Video Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Habari Mpya

Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yapongeza Miradi ya Maendeleo Misungwi

Imewekwa : November 10th, 2023

Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango yapongeza na kuridhishwa na miradi ya maendeleo inayotekelezwa na kusimamiwa vizuri na Menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi, Mkoani Mwanza.

Akizungumza katika ziara ya ukaguzi wa miradi hiyo Novemb/9/ 2023, Mwenyekiti wa Halmashauri, Mhe, Kashinje Machibya amepongeza Menejimenti na Watendaji kwa kusimamia kikamilifu miradi hiyo ya maendeleo ambayo imetekelezwa na inaendelea kutekelezwa kwa fedha za Serikali, wafadhili na michango ya Wananchi.

Mhe, Machibya amesema kwamba kiujumla miradi imetekelezwa kwa kiwango na ubora na thamani ya fedha inaonekana ambapo katika mradi wa ujenzi wa nyumba viwili vya madarasa,ofisi ya Walimu na choo matundu sita katika Shule ya Msingi Nduha iliyopo Kata ya Kasololo ambayo imetengewa kiasi cha shilingi milioni 69,013,717 Fedha kutoka Serikali Kuu kupitia Mradi wa TASAF.

Mhe, Machibya amesema kwa ujenzia unaendelea katika Shule ya Sekondari Manawa uko katika hatua nzuri na unaridhisha ambapo walikagua ujenzi wa nyumba ya watumishi 2 in 1 ambayo iko katika hatua ya ukamilishaji na mpaka sasa imetumia shilingi milioni 70 Fedha kutoka serikali kuu kupitia mradi wa SEQUIP na inatarajiwa kukamilika hivi karibuni.

Mhe, Kashinje Machibya amesema kwa ujenzia unaendelea katika Shule ya Sekondari Mwanangwa uko katika hatua nzuri na unaridhisha ambapo walitembelea na kukagua Ujenzi wa Maabara ambayo imetengewa Shilingi milioni 98,274,858.03/= na jengo la Utawala ambapo linakadiriwa kutumia Shilingi milioni 114,896,306.25/= hadi kukamilika Fedha kutoka Serikali Kuu kupitia mradi wa TASAF na kuwataka wasimamizi wa Shule hiyo waendelee kufanya kazi kwa bidii na kuzingatia maelekezo wanayopewa na wataalamu ili kufanya kazi nzuri na yenye viwango bora vinavyotakiwa katika ujenzi.

Ziara ya Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango pia imetembelea na kukagua miradi mingine ikiwemo mradi wa ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari mwambola iliyopo Kijiji cha Mwambola Kata ya Misungwi ambayo iko katika hatua ukamilishaji hadi kukamilika inatarajiwa kutumia Shilingi milioni 584,280,028/=  ikiwa na jengo1 la utawala,madarasa 8,jengo la maktaba,jengo la Kompyuta na Maabara 3 na Vyoo matundu 8.

Vilevile Wajumbe wa  Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango wameridhishwa na ujenzi wa ukamilishaji wa mabweni ya Sekondari ya Wasichana Misungwi ambapo walitembelea na kukagua hatua za ukamilishaji wa mabweni hayo na fedha iliyotengwa ni shilingi milioni 62,000,000/= na fedha ambayo imetumika mpaka sasa ni shilingi milioni 29,950,000/= kupitia mradi wa EP4R.

Naye Mkurugenzi wa Halmashauri wa Wilaya ya Misungwi Bw.Joseph Mafuru amesema kwa kushirikiana na Menejimenti ataendelea kusimamia kwa uadilifu mkubwa  na kuhakikisha miradi maendeleo yote  inakamilika  ili wananchi waweze kupata huduma bora  inayostahili kwa wakati.

Mwonekano wa nyumba ya watumishi ya 2 in 1 katika Shule ya Sekondari Manawa Misasi ambapo ipo katika hali ya ukamilishaji imejengwa kwa fedha za Serikali kuu kupitia mradi wa SEQUIP

Mwonekano wa jengo mabweni ya Wasichana katika Shule ya Sekondari Misungwi ambapo yalitengewa kiasi cha shilingi milioni 62 Fedha kutoka Serikali kuu kupitia mradi wa EP4R

Matangazo

  • SHULE ZILIZOVUNJA REKODI KATIKA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE MWAKA 2024 February 01, 2025
  • TANGAZO ZABUNI UPANGISHAJI VIBANDA VYA HALMASHAURI MWAKA 2023/2024 June 28, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 20, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE WA JIMBO LA MBARALI NA MADIWANI KATIKA KATA SITA ZA TANZANIA August 10, 2023
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • DAS Misungwi awapongeza Watendaji Halmashauri kwa kushirikiana na Madiwani katika kuongeza ufanisi na ukusanyaji wa Mapato.

    April 29, 2025
  • Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi yafanya ziara ya yatembelea na kupata mafunzo kutoka Halmashauri ya Wilaya ya nyang'hwale Mkoani Geita

    April 25, 2025
  • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango yaridhishwa na miradi ya maendeleo ya Halmashauri Wilaya ya Misungwi

    April 23, 2025
  • Kamati ya Lishe ya Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi yawataka Watendaji wa Kata na Vijiji kutoa Elimu ya Shughuli za Lishe kwa Wananchi.

    February 27, 2025
  • Angalia yote

Video

Uzinduzi wa Tovuti za Mikoa pamoja na Halmashauri
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Takwimu za wanafunzi kitaifa
  • Taarifa
  • Kujisajili chama cha Mapinduzi-ccm
  • MFUMO WA UJAZAJI MATAMKO KWA NJIA YA MTANDAO
  • KUPATA KIUNGANISHI CHA MFUMO WA TAARIFA ZA SHULE-SIS
  • Historia ya Halmashauri
  • Sheria Mbalimbali
  • Wasiliana Nasi
  • Malalamiko

Viunganishi Linganishi

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Tamisemi
  • Mwanza Region
  • Wakala wa Serikali Mtandao (Ega)

Ramani ya Wasomaji

world map hits counter

Wasomaji

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya Misungwi

    Sanduku la Posta: P.O Box 20 MISUNGWI

    Simu ya Mezani: +255282983268

    Simu ya Mkononi: 0717259106

    Barua Pepe: ded@misungwidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2021 Misungwi District Council . All rights reserved.