Mwenyekiti wa Halmashauri unaweza kumwona Ofisini kwake wakati wa Ratiba ya kiofisi kwa ajili ya kutoa Huduma kwa Wananchi kwa siku mbili kwa kila Wiki kama ifuatavyo:
Siku ya Jumatatu kuanzia saa 3,00 asubuhi hadi saa 8,30 Mchana
Siku ya Alhamis kuanzia saa 3,00 asubuhi hadi saa 8,30 Mchana,
Wananchi wote mnakaribishwa kwa ajili ya kutoa maoni,Ushauri,na Hoja za kuleta maendeleo ya Halmashauri
Halmashauri ya Wilaya Misungwi
Sanduku la Posta: P.O Box 20 MISUNGWI
Simu ya Mezani: +255282983268
Simu ya Mkononi: 0717259106
Barua Pepe: ded@misungwidc.go.tz
Copyright ©2021 Misungwi District Council . All rights reserved.