Idara ya Ardhi imeweka taratibu za mteja kuona Kiwanja ambazo ni pamoja na kuonyeshwa Ramani ya Eneo la Kiwanja husika,na baadaye mteja akikamilisha malipo ya kiwanja atapelekwa na Wataalamuwa Ardhi kwenda kuonyeshwa Kiwanja na Mipaka yote ya Kiwanja husika.
Halmashauri ya Wilaya Misungwi
Sanduku la Posta: P.O Box 20 MISUNGWI
Simu ya Mezani: +255282983268
Simu ya Mkononi: 0717259106
Barua Pepe: ded@misungwidc.go.tz
Copyright ©2021 Misungwi District Council . All rights reserved.