Ili kupata Hati ya Mshahara unatakiwa kujisajili kwenye mfumo wa Watumishi Portal.
Kwenye mfumo huu wa watumishi utakuwezesha kupata taarifa zako za kiutumishi.
Vitu vya kuzingatia:
Ili kujisajili < bofya hapa.> Kujisajili kwenye mfumo
Pia unaweza kupata hati yako ya mshahara kwa kutumia mfumo mpya wa "Government Salary Slip Portal" ambapo utajisajili kwenye mfumo.
Kwenye Mfumo huu vitu vya kuzingatia ni:
Ili kujisajili Bofya https://salaryslip.mof.go.tz/Manage/EmployeeRegistration
Kuingia kwa waliojisajili kwenye Government Salary Slip Portal Bofya https://salaryslip.mof.go.tz/Account/Login?ReturnUrl=%2F
Kupata Nyaraka ya Mshahara unatakiwa kutembelea Tovuti ya Goverment Salary Slip Portal
Halmashauri ya Wilaya Misungwi
Sanduku la Posta: P.O Box 20 MISUNGWI
Simu ya Mezani: +255282983268
Simu ya Mkononi: 0717259106
Barua Pepe: ded@misungwidc.go.tz
Copyright ©2021 Misungwi District Council . All rights reserved.