Naibu Waziri Possi akipokea taarifa ya Wilaya ya maendeleo (katikati) na Mkuu wa Wilaya hiyo Juma Sweda(kushoto)akielezea masuala ya Wilaya ofisini kwake.
Mwl,Oscar akiwasilisha taarifa ya maendeleo ya Shule ya Msingi maalumu ya Mitindo kwa alikuwa Naibu Waziri,Possi wakati wa Ziara ya kikazi Wilayani Misungwi
Aliyekuwa Naibu Waziri,Possi aksalimiana na mmoja wa Walimu wa Shule ya Msingi maalumu ya Mitindo wakati wa Ziara ya kikazi
Aliyekuwa Naibu Waziri,Possi akizungumza na jumuiya ya Walimu na Wanafunzi wa Shule ya Msingi Maalimu ya Mitindo wakati wa ziara mapema mwaka 2017.
Aliyekuwa Naibu Waziri,Possi akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa wilaya,na Wanafunzi wa Shule ya msingi maalumu ya Mitindo
Halmashauri ya Wilaya Misungwi
Sanduku la Posta: P.O Box 20 MISUNGWI
Simu ya Mezani: +255282983268
Simu ya Mkononi: 0717259106
Barua Pepe: ded@misungwidc.go.tz
Copyright ©2021 Misungwi District Council . All rights reserved.