Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi na Utawala Bora Angelina Kairuki(katikati) akitembelea shughuli mbalimbali Wilayani Misungwi wakati wa ziara ya kikazi.Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Misungwi Juma Sweda pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiI Eliurd Mwaiteleke wakimwongoza Waziri kuona katika baadhi ya Maeneo aliyotembelea.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi na Utawala bora Angelina Kairuki (Kushoto)akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Misungwi Juma Sweda mara baada ya kuwasili katika ziara ya kikazi Wilayani Misungwi
Halmashauri ya Wilaya Misungwi
Sanduku la Posta: P.O Box 20 MISUNGWI
Simu ya Mezani: +255282983268
Simu ya Mkononi: 0717259106
Barua Pepe: ded@misungwidc.go.tz
Copyright ©2021 Misungwi District Council . All rights reserved.