Viongozi na Watendaji wa Wilaya wakiwa katika Ziara za Shughuli mbalimbali za Miradi Vijijini
Mkurugenzi Mtendaji wilaya,Eliurd Mwaiteleke akitoa maelekezo na maagizo kwa Watendaji na Walimu wakati wa Ziara ya Ukaguzi wa miradi katika Sekondari ya Idetemya