Baadhi ya Washiriki wa Mafunzo ya Utengenezaji na Uendeshaji wa Tovuti katka Mamlaka ya Serikali za Mitaa wakijifunza namna ya kuweka taarifa na Matukio katka Tovuti za Taasis zao.
Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha MawasilianoTAMISEMI, Rebbeca Nkwandu akitoa maelezo ya Utangulizi na Ufafanuzi kuhusu Mafunzo ya Tovuti kwa Maafisa Habari na TEHAMA kwa Mgeni Rasmi kabla ya kuzinduliwa kwa zoezi hili
Viongozi Mbalimbali wakiwa katka picha ya pamoja mara baada ya Uzinduzi wa Tovuti za Mikoa na Halmashauri za Mikoa ya Kanda ya Ziwa.
Halmashauri ya Wilaya Misungwi
Sanduku la Posta: P.O Box 20 MISUNGWI
Simu ya Mezani: +255282983268
Simu ya Mkononi: 0717259106
Barua Pepe: ded@misungwidc.go.tz
Copyright ©2021 Misungwi District Council . All rights reserved.