• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Ardhi na Maliasili
      • Utawala na Raslimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Fedha na Biashara
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Maeneo ya Vivutio vya Utalii
    • Maeneo ya Kilimo
    • Maeneo ya Madini
    • Maeneo ya Uwekezaji wa Mazingira
  • Huduma Zetu
    • Huduma Sekta ya Afya
    • Huduma Sekta ya Elimu
    • Huduma Sekta ya Maji
    • Huduma Sekta ya Mazingira
    • Huduma Sekta ya Maendeleo ya Jamii
    • Huduma Sekta ya Ardhi na Maliasili
  • Baraza la Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Huduma za Kijamii
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba Vikao vya Halmashauri
  • Miradi mbalimbali
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Mbalimbali
    • Taratibu
    • Gazeti la Serikali
    • Taarifa
    • Fomu mbalimbali
    • Zabuni
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Video Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Habari Mpya

Kupata Leseni ya Biashara?

Huduma za Usajili wa Leseni za Biashara

A. Mahitaji Muhimu wakati wa kupata Leseni mpya ya Biashara.

1.      Fomu ya Maombi (Inapatikana Ofisi ya Biashara Wilaya)

2.      Jina la/Majina ya Baishara (yataonekana kwenye leseni    

yako).

3.      Kama ni kampuni aje na nakala ya cheti ya usajili wa

BRELA (Certificate of Registration)


4. Nakala ya cheti cha namba ya utambulisho wa mlipa kodi toka Mamlaka ya Mapato Tanzania-TRA (TIN NUMBER).

5.      Cheti Orijino cha kuonyesha hudaiwi kodi (Tax Clearance    

Certificate) kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)

6.      Ada ya Maombi Tsh.1, 000/-

7.      Ada za leseni kwa Mwaka (zinatofautina kulingana na aina ya

          baishara)

Kwa usajili wa bishara  zilizopo chini ya Mamlaka nyingine Mfano Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA), biashara hizo ni kama vile Maduaka ya Dawa za Binadamu, Vinywaji laini, Maduka ya Pembejeo za Kilimo na Mifugo pamoja na maduka ya vyakula mnatakiwa kuwasilisha nyaraka zifuatavyo:-

(a). Cheti cha  Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) au    

      Mamlaka nyingine

(b)     Cheti cha Vipimo vya Afya

(c)     Pamoja na viambatanishi vingine vilivyotajwa hapo juu.

B. Kwa wafanyabiashara ambao leseni zimeisha muda     

    wake/wanaohuisha (renew), wanatakiwa kuja na:-

1. Nakala ya leseni ya zamani (Iliyoisha muda wake)

2. Cheti halisi (Original) cha kuonyesha hudaiwi kodi toka Mamlaka ya     

    Mapato Tanzani-TRA (Tax Clearance Certificate)

Kwa maelezo zaidi wasiliana na Afisa Biashara Wilaya ya Misungwi kwa simu namba:

0756824120

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA TAIFA DARASA LA IV-2020 January 15, 2021
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI SEKRETARIETI YA AJIRA 17 JAN,2021 January 17, 2021
  • TANGANZO LA NAFASI ZA KAZI SEKRETARIETI YA AJIRA 22 JAN,2021 January 22, 2021
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI SEKRETARIETI YA AJIRA 28 JAN,2021 January 28, 2021
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • Baraza la Madiwani lapitisha rasimu ya Bajeti ya shilingi Bilioni 44.3 mwaka 2021/2022 Misungwi.

    February 17, 2021
  • Mwanamke mwenye Ulemavu wa Miguu akabidhiwa Mkopo wa Bajaji ya Abiria Misungwi

    February 14, 2021
  • Waziri Jafo awasifu Viongozi Misungwi, kwa usimamizi mzuri ujenzi wa Hospitali Wilaya

    January 05, 2021
  • Waziri Kalemani aagiza Tannesco kuweka Transfoma Mgodi wa Busolwa na maeneo ya Usagara Misungwi

    December 31, 2020
  • Angalia yote

Video

Uzinduzi wa Tovuti za Mikoa pamoja na Halmashauri
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Takwimu za wanafunzi kitaifa
  • Taarifa
  • Kujisajili chama cha Mapinduzi-ccm
  • MFUMO WA UJAZAJI MATAMKO KWA NJIA YA MTANDAO
  • KUPATA KIUNGANISHI CHA MFUMO WA TAARIFA ZA SHULE-SIS
  • Historia ya Halmashauri
  • Sheria Mbalimbali
  • Wasiliana Nasi
  • Malalamiko

Viunganishi Linganishi

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Tamisemi
  • Mwanza Region
  • Wakala wa Serikali Mtandao (Ega)

Ramani ya Wasomaji

world map hits counter

Wasomaji

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya Misungwi

    Sanduku la Posta: P.O Box 20 MISUNGWI

    Simu ya Mezani: +255282983268

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@misungwidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2020 Misungwi District Council . All rights reserved.