Halmashauri ina fursa nyingi za kiuchumi ikiwemo na shughuli ya Uchimbaji wa Madini ya Dhahabu katika meneo ya Ishokela,Mwamazengo,Kifune na Madini ya Almasi katika kijiji cha Mwanangwa na kuna Wachimbaji wakubwa,wa Kati na Wadogo wenye Leseni za Kampuni pamoja na Leseni za Vikundi.
Halmashauri ya Wilaya Misungwi
Sanduku la Posta: P.O Box 20
Simu ya Mezani: 255 732980745
Simu ya Mkononi: 0763686106
Barua Pepe: ded@misungwidc.go.tz
Hatimiliki ©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi . Haki zote zimehifadhiwa